Young Dee: Cowbama ilikua ni kolabo yangu na Ngwea Young Dee Young Dee amesema kuwa rekodi yake mpya ya Cowbama, imetoka sasa kama kazi yake rasmi kuonesha heshima na shukrani kwa mchango wa marehemu katika muziki wake. Read more about Young Dee: Cowbama ilikua ni kolabo yangu na Ngwea