Tuchague viongozi wawajibikaji. Uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana, tumuombe Mungu aibariki Tanzania uchaguzi ufanyike salama, pia tuchague kiongozi atakayeleta maendeleo kwenye Taifa letu. Read more about Tuchague viongozi wawajibikaji.