Name: JosephUchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana, tumuombe Mungu aibariki Tanzania uchaguzi ufanyike salama, pia tuchague kiongozi atakayeleta maendeleo kwenye Taifa letu.Category: Hamasisha