Ndugai ahojiwa na Polisi kwa kujeruhi
Mbunge wa Kongwa aliyemaliza muda wake ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amehojiwa na jeshi la Polisi Mkoani Dodoma kwa tuhuma za kumshambulia kwa fimbo na kumjeruhi mgombea mwenzake