Wagombea waomba hatua zichukuliwe kwa Watoa Rushwa
Katikati ni mwenyekiti wa mkoa wa Kilimanjaro, Deogratius Luta na kulia ni Katibu wa CCM mkoa huo Idd Juma Mohamed Wakizungumza na Mh. Steven Wassira.
Wagombea saba wa ubunge wa CCM wa jimbo la Same Magharibi wamekiomba chama kichukue hatua kwa wagombea wenzao wanaojihusisha na vitendo vya rushwa na kutoa ahadi kwa wananchi.