Washiriki Dance 100 watambiana kunyakua ushindi
Katika kuelekea hatua nzito ya robo fainali ya mashindano makubwa ya Dance 100% 2015, makundi 15 yaliyofanikiwa kuingia hatua hiyo huku kila mmoja akiwa anajiamini kwa kiasi kikubwa, wameanza kutambiana kuukwaa ushindi wa mashindano hayo mwaka huu.

