Waamuzi mechi Taifa Stars na Nigeria kuwasili leo
Waamuzi wanaotarajiwa kuchezesha mechi ya kuwania kufuzu fainali za AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania na Nigeria wanatarajkiwa kuwasili hii leo kwa ajili ya maandalizi ya mechi hiyo inayotarajiwa kuchezwa Jumamosi ya wiki hii uwanja wa Taifa.

