Tufanye maamuzi sahihi ifikapo Octoba. Watanzania tuchague kiongozi bora siyo bora kiongozi, tuwe makini kusikiliza sera za wagombea kisha tufanye maamuzi sahihi. #ZamuYako2015 Read more about Tufanye maamuzi sahihi ifikapo Octoba.