Hatutashiriki mashindano nje ya Tanzania - CHABATA Chama cha Baiskeli nchini CHABATA kimesema, hakitaweza kushiriki mashindano yoyote ya kimataifa kwa mwaka huu baada ya kukosa wafadhili ambao wangeweza kuisaidia timu ya Taifa. Read more about Hatutashiriki mashindano nje ya Tanzania - CHABATA