Mauzo ya DSE yameshuka huku mtaji ukiongezeka
Mauzo katika soko la hisa la Dar es Salaam—DSE yameshuka kwa asilimia 62 kutoka shilingi bilioni 6.4 hadi shilingi bilioni 2.4 kwa mujibu wa takwimu za biashara na mauzo katika soko hilo katika kipindi cha juma moja lililopita.

