Stamina awachana marapa wanaobadilika 'flows'

Stamina a.k.a Shorwebwenzi

Stamina, mwana hip hop ambaye amekuwa na msimamo mkali katika mtindo wake wa kuchana na vilevile uandishi wa mistari, ametoa maneno mazito kwa wasanii wa rap ambao huandikiwa mistari na pia kujisifu katika kubadilisha aina ya flows yani ku-switch.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS