Uteuzi wa majimbo UKAWA ulizingatia vigezo-Mbowe
Mwenyekiti mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi nchini Tanzania UKAWA Bw. Freeman Mbowe amesema uteuzi wa wagombea wa ubunge katika majimbo kwa kushirikisha umoja huo ulizingatia uwezo wa mgombea husika na sifa alizokuwa nazo.

