Wasanii wahimiza Amani Tanzania
Ikiwa ni sehemu ya mchango wa wasanii wa muziki hapa nchini siku ya leo wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Amani, wito umeendelea kutolewa kwa watanzania kuwa na amani hususan katika kuelekea kushiriki zoezi la uchaguzi mkuu tarehe 25 mwezi Oktoba.

