TFF haitofuta viingilio vya mechi za stars

Kikosi cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars

Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF limesema bado halijafikiria kufuta viingilio vya michezo ya soka ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu na taifa kutokana na gharama za michezo husika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS