Zanzibar, Ethiopia zaanza vibaya Chalenji. Timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes leo imeanza vibaya mbio za kuwania kombe la CECAFA Chalenji katika michuano inayohusisha timu za ukanda wa Afrika Mashariki na kati, iliyoanza leo nchini Ethiopia. Read more about Zanzibar, Ethiopia zaanza vibaya Chalenji.