Idadi kubwa ya wanawake vijijini hawapati pembejeo

Mkurugenzi wa mradi wa ubunifu katika usawa wa kijinsia na kuimarisha uhakika wa chakula ngazi ya kaya Bi. Rose Kingamkono.

Idadi kubwa ya wanawake wa vijijini hawafikiwi na pembejeo za kilimo na huduma ya ugani licha ya kuchangia asilimia 43 ya nguvu kazi katika kilimo na uzalishaji mali mashambani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS