Watanzania 4 wafariki tukio la kukanyagana Mina
Watanzania wanne wamethibitishwa kufariki dunia katika tukio la kukanyagana katika mji wa Makka, ikiwa ni miongoni mwa mahujaji zaidi ya 700 waliopoteza maisha katika tukio hilo wakati wa siku ya mwisho ya Hijja.