Maurice atoa ujumbe mzito kwa rais
Nyota wa muziki wa nchini Uganda, Maurice Kirya amesema licha ya msaada wa hapa na pale kipesa ambao Rais Yoweri Museveni amekuwa akisaidia wasanii, anapaswa kukazia mambo muhimu zaidi ikiwepo utekelezaji wa sheria ya hakimiliki ya kazi za wasanii.