Majukumu mengi ndio maana simsaidii mama - Hisia

Msanii Hisia amesema majukumu ya kazi zake ndizo yanayo sababisha yeye kutopanda kwenye jukwaa lolote la kisiasa kama ilivyo kwa wasanii wengine, na kumsapoti mgombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo Bi. Anna Mghirwa, ambaye ni mama yake mzazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS