Sitosahau nilipoingia ikulu - Queen Darlene
Msanii wa kike anayefanya vizuri kwenye anga za muziki wa Bongo Flava Queen Darleen, amesema kitendo cha yeye kuingia Ikulu na kukaa meza moja na Rais Kikwete na kustorika nae, ni kikubwa kwake na hatokuja kusahau maishani mwake.