Mikutano ya kampeni ya nini? Sina makosa - Dovutwa
Mgombea urais kupitia chama cha UPDP Fahmi Nasoro Dovutwa amesema hana sababu ya kufanya mikutano mikubwa ya hadhara, kwani yeye hana makosa na wala hajawaudhi wananchi, hivyo haitaji kuitumia mikutano hiyo kujisafisha.