Habida Moloney ndani ya mwanzo mpya
Diva wa muziki kutoka Kenya, Habida Moloney ambaye ni msomi mwenye shahada ya Sanaa ya Maonesho ameshiriki katika tamthilia kubwa inayotayarishwa huko nchini Kenya ya New Beginnings, kuonesha kwa karibu uwezo wake wa kuigiza.