Malinzi afunga kozi ya waamuzi wasio na beji

Rais wa shirikisho la kandanda Tanzania TFF Jamal Malinzi leo amefunga kozi ya waamuzi vijana wasio na beji ya FIFA kutoka nchi mbalimbali barani Afrika lengo likiwa ni kuhakikisha bara la Afrika linapata waamuzi wenye uwezo wa kuchezesha michuano

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS