Jaguar, NYS kusaidia kutibu mateja
Msanii wa muziki Jaguar kutoka nchini Kenya, kwa kushirikiana na taasisi ya huduma kwa Vijana nchini humo NYS, wamefanikiwa kukubaliana kufungua kituo cha kusaidia waathirika wa dawa za kulevya Mombasa nchini kenya.