Cheka amchapa Mthailand kwa KO,atwaa mkanda wa WBO Bondia Cosmas Cheka amewatoa kimasomaso watanzania baada ya kushinda mkanda wa Asia Pasific wa WBO kwa kumchapa Bondia wa Thailand,Tewa Tor Surat asubuhi ya leo, nchini Bangkok. Read more about Cheka amchapa Mthailand kwa KO,atwaa mkanda wa WBO