Mabeste aeleza namna alivyogeuza 'Diss' kuwa 'Hit
Star wa muziki Mabeste, ameweka wazi siri kubwa iliyokuwa nyuma ya ngoma yake ya Sirudi Tena iliyomtambulisha vizuri katika game, kuwa aliandika kutokana na hisia za machungu alizokuwa nazo baada ya kukosana na timu aliyokuwa akifanya nayo kazi BHitz