Mchungaji Christopher Mtikila afariki dunia

Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party (DP), marehemu Mchungaji Christopher Mtikila.

Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party, mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea mapema asubuhi leo maeneo ya Chalinze mkoa wa Pwani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS