Uchaguzi Zanzibar hauathiri wa Tanzania-Lubuva
Licha ya mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha kutangaza kufutilia mbali kwa matokeo ya uchaguzi visiwani humo,Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa tamko kuwa hatua hiyo haitaathiri matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania bara.