AT alilia nafasi kwa muziki asilia
Staa wa muziki AT, akisimamia misingi ya ladha ya muziki kutoka hapa nyumbani ukiwepo Mduara ambao ndio anaoufanya, amesema kuwa endapo wasanii hawatothamini muziki wa ladha asilia wa nyumbani, hawataweza kushindana na waanzilishi wa ladha hizo.