Serikali ijayo iboreshe ukusanyaji kodi - Vijana
Imeelezwa kwamba serikali ijayo ina jukumu la kuboresha ukusanyaji wa kodi, kwa kurasimisha biashara ambazo sio rasmi na kuongeza idadi ya walipa kodi, kwa sababu ndio chanzo kikubwa cha mapato na kuweza kumnufaisha kijana.