Mpira wa magongo wakabidhiwa bendera kwa Olympic

Mkurugenzi msaidizi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi.Juliana Yasoda amekabidhi bendera kwa timu za taifa za Tanzania wanaume na wanawake mchezo wa mpira wa magongo (Hockey) tayari kwa safari ya kuelekea nchini Afrika Kusini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS