TSA yaagizwa kurekebisha katiba ndani ya siku 90 Ofisi ya msajili wa vyama vya michezo Tanzania, imekiagiza chama cha mchezo wa kuogelea Tanzania TSA kutengeneza katiba mpya mara moja ndani ya siku 90. Read more about TSA yaagizwa kurekebisha katiba ndani ya siku 90