Watu maarufu ni ngumu kupata wapenzi - Man Water
Mtayarishaji maarufu wa muziki hapa nchini kutoka studio za Combination sound, Man water, amesema watu maarufu hususani wasanii, wanakuwa na wakati mgumu sana katika kumpata mtu sahihi wa kuwa naye kwenye mahusino.