Vifaa vya JATA kutoka IJF kupigwa mnada

Vifaa vya Judo vilivyotolewa na shirikisho la mchezo huo la Dunia IJF viko hatarini kupigwa mnada baada ya Chama cha Judo Tanzania JATA kushindwa kuvilipia ushuru ili kuviondoa bandarini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS