Said Fella ahimiza amani kwanza
Meneja Said fella au Mkubwa na wanawe amesema kuwa kutokana na siku chache zilizobakia kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 25 mwezi huu, amewasihi watanzania kuweka amani mbele na kuelezea kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi.