Octopizzo kupiga vita ukatili
Msanii wa Hip Hop kutoka nchini Kenya, Octopizzo ameungana na harakati za kupambana na tatizo la ubakaji na ukatili kwa wanawake huko nchini Kenya, chini ya mpango wa Stop VAWG unaoendeshwa na taasisi maarufu chini ya serikali ya Uingereza.