Kozi ya Walimu na Waamuzi yainua wavu ya ufukweni
Wakati timu 50 za Wanawake na Wanaume za mpira wa wavu wa ufukweni zikiendelea kuoneshana kazi jijini Dar es Salaam chama cha mchezo huo jijini humo kimesema matunda ya kuendesha kozi kwa makocha na waamuzi yameanza kuonekana.