Wananchi wakae umbali gani baada ya kupiga kura.
Jeshi la polisi, tume ya taifa ya uchaguzi NEC na ile ya Zanzibar ZEC, kwa pamoja wametakiwa kutumia busara katika kuamua faida na hasara za watu kubaki umbali wa mita 200, kutoka vituo vya kupigia kura ili kuepusha nchi kuingia katika machafuko