Kesi ya kukaa mita 200 Oktoba 25 yapigwa kalenda
Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam leo imeahirisha kesi ya kikatiba kuhusu kutoa tafsiri ya umbali wanaotakiwa kusimama wapiga kura baada ya kupiga kura wakati wa uchaguzi mkuu ili kutoa muda kwa upande wa serikali kuandaa majibu.