AWATA waahirisha Nyerere Cup, kuandaa Klabu Bingwa
Chama cha mchezo wa Mieleka ya Ridhaa nchini AWATA kimesema kimeahirisha mashindano ya Nyerere Cup na sasa hivi wanaangalia mashindano ya Klabu Bingwa Taifa yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Desemba mwaka huu.