Wizara itoe kipaumbele kwenye mikopo - Bante.
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa Michael Bante ameitaka serikali kutenga bajeti maalum kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, ili kutatua migogoro inayojitokeza mara kwa mara kuhusu mikopo hiyo.