Wakazi wa Ngorongoro walia na shida ya maji
Wananchi wa kijiji cha Nayobi wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wamelalamikia kero ya uhaba wa maji inayowasababishia kukesha kwenye bomba la kijiji kwa siku tatu wakisubiri maji jambo linalopelekea shughuli za kijamii na kiuchumi kusimama.