Waangalizi wasema uchaguzi ulikuwa huru na uwazi

Mh. Moody Awori Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamesema kuwa zoezi la kupiga kura liliendeshwa vizuri na kwa uwazi japo kulikuwa na mapungufu kidogo kwenye baadhi ya maeneo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS