msanii wa muziki Joseph Haule aka Profesa Jay akiwa na msanii Joseph Mbilinyi aka Mr. II Sugu
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule ( Profesa Jay ) ameshinda kiti cha ubunge jimbo la Mikumi mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA).