25 Twiga waingia kambini maandalizi ya Malawi

Kikosi cha wachezaji 25 cha timu ya taifa ya wanawake Twiga Stars kimeingia kambini jana kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Malawi Novemba saba mwaka huu uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS