Pinda azindua chama cha kuendeleza ufugaji nyuki
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amezindua Chama cha Kuendeleza Ufugaji Nyuki Tanzania (Tanzania Beekeeping Development Organization – TABEDO) na kukitaka kishirikiane na makampuni binafsi ili kuendeleza sekta hiyo kwa haraka.