TSA yaunda kamati kusimamia maandalizi ya CANA Chama cha kuogelea Tanzania TSA kimeunda kamati itakayosimamia maandalizi ya mashindano ya kanda ya tatu CANA yatakayofanyika Desemba 11 mpaka 13 mwaka huu jijini Kampala nchini Uganda. Read more about TSA yaunda kamati kusimamia maandalizi ya CANA