Twiga kutumia mchezo na Malawi kumuaga Chabruma

Timu ya taifa ya wanawake Tanzania Twiga Stars inatarajia kushuka dimbani Novemba saba mwaka huu uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam dhidi ya Malawi ambapo itautumia mchezo huo pia kumuaga mchezaji wa Twiga Esther Chabruma ambaye anastaafu soka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS