Mvua za sasa ni za msimu sio Elnino- TMA

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua zinazoanza kunyesha hapa nchini na kuleta maafa si za elnino, bali ni mvua za msimu zinazosababishwa na uwepo wa elnino kwenye ukanda wa Afrika Mashariki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS