Kocha Kagera Sugar aijia juu safu yake ya Ulinzi Kocha mkuu wa Kagera Sugar Adolf Richard amesema safu ya ulinzi umechangia timu hiyo kufanya vibaya katika mechi 10 za Ligi kuu ya soka Tanzania Bara. Read more about Kocha Kagera Sugar aijia juu safu yake ya Ulinzi